Matukio Picha: Misa na kuagwa kwa mwili wa Dkt. Magufuli

0
288
Jeneza lenye mwili wa Dkt. John Magufuli likiwa ndani ya Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Petro mkoani Dar es Salaam wakati wa misa takatifu ya kuaga mwili huo.

Picha za matukio mbalimbali ya misa ya kuaga mwili wa Dkt. John Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Petro na baadaye kuagwa katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.