Matukio picha kutoka bungeni Februari 17

0
165

Picha za matukio mbalimbali kutoka katika Kikao cha 13 cha Mkutano wa Sita wa Bunge la 12 kinachoendelea bungeni jijini Dodoma.