Kitaifa Matukio Katika Picha: Ujio wa Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi By Dickson Mushi - January 7, 2021 0 170 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akiwa na Mawaziri wengine, tayari kumpokea Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita. Waziri Wang Yi ameanza ziara ya kikazi ya siku mbili nchini. Kikundi cha ngoma kikitumbuiza katika mapokezi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi kwenye uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akiwa ameongozana na Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi, mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita.