Maonesho ya 46 ya biashara ya Kimataifa (Sabasaba) 2022

0
390

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha akiwa katika banda la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na bunge hilo.

Dkt. Rioba ametembelea banda hilo ambalo lipo kwenye maonesho ya 46 ya biashara ya kimataifa Sabasaba, 2022 yanayoendelea mkoani Dar es Salaam.