Makocha wa Yanga na Simba wakizungumzia mchezo wa leo

0
462

Makocha wa Yanga na Simba wamezungumzia mechi ya watani wa jadi iliyomalizika muda mfupi uliopita, huku kila mmoja kikipongeza kikosi chake na kuonesha kuridhika na matokeo.

Akianza kuelezea mchezo huo, kocha wa Yanga amesema kikosi chake kimefanya vizuri kwa sababu hakijakaa pamoja kwa muda mrefu, na kwamba matokeo hayo ni chachu ya kufikia kule anakokutaka.

Kwa upande wake, kocha wa Simba, amemtupia lawama waamuzi wa mchezo wa leo na kusema kwamba endapo wangekuwa makini kidogo, mabingwa hao watetezi wangeondoka na alama tatu.

Wasikiliza kiundani makochoa hao hapa chini;