Kitaifa MAKAMU WA RAIS AFUNGA MAONESHO YA NANENANE MOROGORO By Hamis Hollela - August 8, 2019 0 1406 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Kombe Mshindi wa Ushiriki Bora katika Maadhimishi ya sikukuu ya wakulima Nanenane kwa Mwaka 2019 Kanali Aisha Matanzi wa JKT wakati wa Maadhimisho ya Ufungaji wa Sikukuu ya Wakulima Nanenane Mkoani Morogoro leo Agost 08,2019.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Maamu wa Rais akikagua bidhaa ya mmoja ya mshiriki wa Maonesho ya Nanene yaliyofanyika Mkoani Morogoro