MAKABIDHIANO YA NYARAKA

0
100

Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhaj Ali Hassan Mwinyi, amemkabidhi Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi nyaraka za kuwa mlezi wa mradi wa kufundisha kiswahili kwa kutumia lugha za kiasili katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).