MAJINA YA MAJERUHI WA AJALI YA MOTO ULIOTOKANA NA KUUNGUA KWA GARI LA MAFUTA – MOROGORO

0
972

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro imetoa majina ya majeruhi na maiti walioungua katika ajali ya Moto uliotokana na kulipuka kwa gari la mafuta.


Jumla ya Majeruhi ni 68
Idadi ya majeruhi wanaume ni 58
Idadi ya majeruhi wanawake ni 10 kati ya hao watoto ni 1
Maiti zilizopokelewa ni 62, Wanawake ni 3 na mtoto 1