Majaliwa aanza ziara Katavi

0
193

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo amewasili mkoani Katavi kuanza ziara ya siku tatu mkoani humo.

Akiwa mkoani Katavi, Waziri Mkuu Majaliwa atapata fursa ya kukagua miradi ya maendeleo, kuzungumza na wananchi pamoja na kuzungumza na watumishi mbalimbali wa mkoa huo.