Mafunzo kwa Maafisa Mawasiliano Serikalini

0
171

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt Hassan Abbasi akiwasilisha mada kuhusu uandishi wa taarifa kwa umma wakati wa mafunzo kwa Maafisa Mawasiliano Serikalini hii leo jijini Dodoma.

Mafunzo hayo ya siku Tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari Maelezo na Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO), lengo likiwa ni kuwajengea uwezo maafisa hao.