Madaba wapata kituo cha afya

0
260

Rais John Magufuli amezindua kituo cha afya cha Madaba kilichopo mkoani Ruvuma ambacho kimejengwa kwa ushirikiano wa wadau mbalimbali wa maendeleo kwa gharama ya takribani shilingi Milioni 600.