Kitaifa Mabalozi wa EU Bungeni By James Range - September 15, 2022 0 95 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Baadhi ya wawakilishi na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini kutoka katika nchi za Umoja wa Ulaya (EU) wakiwa ndani ya ukumbi wa bunge jijini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya ziara yao kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.