Maandalizi ya mkutano wa 8 wa Bunge

0
206

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichopokea na kujadili shughuli za mkutano wa nane wa bunge pamoja na mapendekezo ya ratiba ya mkutano huo.

Kikao hicho kimefanyika leo Septemba 12, 2022 katika ukumbi wa Spika bungeni jijini Dodoma.