Lishe inavyoweza kuleta athari kwa mtoto mchanga

0
461

Lishe ni moja ya njia kubwa za kuzaliwa kwa mtoto mwenye afya na kumsaidia kuepuka magonjwa mbalimbali.

Licha ya umuhimu huo, baadhi ya wazazi wamekuwa wakizembea hilo tangu mama akiwa mjamzito na hivyo kuathiri ukuaji wa mtoto tangu akiwa tumbo.

Fuatana nasi katika makala hii fupi ambapo wataalam wanaeleza umuhimu wa lishe bora/kamili kwa watoto;