Lipumba Mwenyekiti halali CUF

0
319

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imekubaliana na uamuzi wa Msajili wa Vyama Vya Siasa Nchini wa kumtambua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa Mwenyekiti halali wa Chama Cha Wananchi (CUF).

Hukumu hiyo  imetolewa hii leo na Jaji Benhajj Masoud.