Le Mutuz afariki dunia

0
217

Uongozi wa Lemutuz Online Tv kupitia Meneja wa Lemutuz Online Tv @DeusTanzania umethibitisha kupitia ukurasa wake wa instagram kifo cha Mkurugenzi wao ambaye pia ni
mmiliki wa ‘Le Mutuz’ Blog, William John Malecela maarufu Lemutuz ama Mr. Super Brands,
kilichotokea mapema hii leo mkoani Dar es Salaam.