Kwaheri

0
198

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais Yoweri Museveni wa Uganda katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

Rais Museveni alikuwa hapa nchini kwa ziara ya siku Tatu ambapo pamoja na mambo mengine, alifungua kongamano la kwanza la biashara kati ya Tanzania na Uganda.