KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE

0
145

Tarehe kama ya leo Aprili 13, 1922 alizaliwa Baba wa Taifa la Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere huko Butiama mkoani Mara.

Kama angekuwa hai, leo Baba wa Taifa angekuwa anatimiza umri wa miaka 101.

Alifariki dunia Oktoba 14, 1999 jijini London nchini Uingereza.