Akizungumza katika Kongamano la siku maalum dhidi ya rushwa katika maonyesho ya kimataifa ya biashara Julai 3,2019 jijini Dar es Salaam,Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally amesema Mijadala dhidi ya Rushwa inasaidia katika kuboresha Ilani.