Kiwanda cha kukoboa Kahawa chazinduliwa Mbozi

0
282

https://www.youtube.com/watch?v=d_zFzWTkK1k&feature=youtu.be

Rais John Magufuli ambaye anaendelea na ziara yake ya kikazi siku Nne mkoani Songwe, amezindua kiwanda cha kukoboa Kahawa cha kampuni ya GDM kilichopo Mlowo wilayani Mbozi, ambacho kina uwezo wa kukoboa Tani 10 kwa saa na kimejengwa kwa gharama ya Shilingi Bilioni Saba.