Kituo cha kurusha matangazo ya Redio cha TBC kuzinduliwa Katavi

0
199

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye kuzindua kituo cha kurusha matangazo ya redio cha TBC Taifa na TBC FM kilichopo Inyonga, Mlele mkoani Katavi.

Uzinduzi huo utafanyika Januari 10, 2023 kuanzia saa 3:00 asubuhi.

Kituo hicho kimefadhiliwa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF).