Waganga wa tiba asili wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, wamemsimika Makamu mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi CCM Tanzania Bara Abdulrahman Kinana kuwa chief masanja na kueleza maana ya jina hilo kuwa ni mtu anayeuwaganisha watu
Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa nyalamu halmashauri ya Itilima wamesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan alisimikwa kuwa chief hangaya.
Kinana amewapongeza waganga wa tiba za asili wilaya ya Itiliima kwa kuacha ramli chonganishi na kutibu kisasa