Kilwa kudhibiti korosho zisizo na ubora

0
148

Halmashauri ya wilaya ya Kilwa  mkoani Lindi inakusudia kukagua magari yanayoingia wilayani humo ili kubaini na kudhibiti uingizaji wa Korosho zenye ubora hafifu katika soko la Kilwa.

https://www.youtube.com/watch?v=zNEBAQj6t-A&feature=youtu.be

Akizungumza mara baada ya kikao cha Baraza la Madiwani katika Mji Mdogo wa Masoko, Mwenyekiti wa Halmashauri  ya wilaya ya Kilwa Abuu Mjaka amesema kuwa, kumekuwa na uingizwaji wa Korosho zisizo na ubora  katika halmashauri hiyo hali inayosababisha kushuka kwa Soko la Korosho zinazotoka wilayani Kilwa.