Kikao cha 15 cha JPC chafanyika Dar

0
139

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Jim Yonazi ameshiriki kikao cha 15 cha Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Mashirikiano (JPC) baina ya Tanzania na Msumbiji kilichofanyika Agosti 24, 2022 jijini Dar es Salaam.