Kitaifa Kesi ya mauaji Njombe yasogezwa mbele By TBC - February 25, 2019 0 863 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Watuhumiwa watatu wa kesi ya mauaji ya watoto watatu mkoani Njombe wamesomewa kwa mara ya pili kesi yao na kesi hiyo imeahirishwa hadi tarehe 11 mwezi March mwaka huu