Kardinali Pengo azuru kaburi la JPM

0
212

Askofu Mkuu Mstaafu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam,
alipozuru kaburi la aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli wilayani Chato, mkoani Geita.

Kardinali Pengo aliyeongozana na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki jimbo la Geita Dkt. Flavian Kassala na viongozi wengine wa dini mkoani huko, alipokelewa na mjane wa Hayati Magufuli, Janeth Magufuli na wanafamilia.