Kitaifa Kamati Kuu ya CCM yakutana By TBC - November 22, 2022 0 92 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Rais Samia Suluhu Hassan leo ameongoza kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa, kikao kilichofanyika mkoani Dodoma.