Kagame ampongeza rais samia

0
165

Rais wa Rwanda, Paul Kagame amempongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kutafuta suluhisho la kudumu la migogoro hasa eneo la Mashariki mwa DR Congo.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es Salaam, Rais Kagame amesema “amani na utulivu ni hitaji muhimu kwa maendeleo ya Afrika.”