JUKWAA LA BIASHARA TANZANIA NA KOREA

0
457

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye anaendelea za ziara yake Korea Kusini, amefungua Jukwaa la Kibiashara kati ya Tanzania na nchi hiyo.