Rais Dkt. John Magufuli amempatia zawadi ya kinyago cha Umoja Mwamini wa Muunganiko wa Afrika kutoka Kenya Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba ( Maarufu kama Profesa PLO Lumumba) alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Februari 24. 2020.