JKT yadhamiria kujitegemea kwa kutumia uwezo wa ndani

0
202

Jeshi la kujenga Taifa (JKT) linaendelea kutekeleza mpango wa dharura wa kilimo cha mahindi maharage na mpunga, utakaoliwezesha jeshi hilo kujitegemea.

Mkuu wa JKT Brigedia Jenerali Charles Mbuge ametaoa kauli hiyo katika kikosi cha JKT Milundikwa mkoani Rukwa, akiwa kwenye ziara yake ya kikazi yenye lengo la kukagua utekelezaji wa mpango huo.