JK aongoza jopo la waangalizi Kenya

0
220

Mkuu wa jopo la waangalizi wa uchaguzi mkuu nchini Kenya kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Rais mstaafu wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete, akiwaongoza waangalizi wengine kupita katika vituo mbalimbali vya kupigia kura.

Zoezi la upigaii kura katika uchaguzi mkuu nchini Kenya lilianza saa 12 asubuhi hii leo na linataraiiwa kuhitimishwa saa 10 alasiri.