Jiwe lenye taswira ya samaki

0
148

Maajabu ya taswira ya jiwe kubwa linalofanana na samaki mkubwa aina ya Papa linalopatikana katika msitu wa hifadhi wa Igeleke uliopo nje kidogo ya manispaa ya Iringa.

Jiwe hilo limegawanyika mfano wa kichwa chenye mdomo wa papa na jicho lake, na hivyo kuwa kivutio cha utalii wa kihistoria.