Jeshi la Polisi lamshikilia James Mwakateba kwa kosa la kukutwa na sare za Jeshi

0
187

Jeshi la Polisi Mkoani Songwe linamshikilia mtuhumiwa mmoja aliefahamika kwa jina la James Mwakateba makazi wa Dar es salaam kwa kosa la kukutwa na sare za jeshi