Jeshi la Magereza waja na bidhaa bora za ngozi

0
1434
WANANCHI wakitembelea kujionea Bidhaa za Ngozi zinazozalishwa na Jeshi la Magereza katika banda la maonesho ya Nne ya Wiki ya Viwanda ya SADC, katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, jana, ambapo jumla ya nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za kusini mwa Afrika SADC zinashiriki katika maonesho hayo kuelekea Mkutano Mkuu wa 39 wa jumuiya hiyo unaotarajia kuanza Agosti 17 na kumalizika 18.