IPO VVIP KWA AJILI YA WATU WAWILI TU

0
145

“Meli itakuwa na madaraja sita itakapokamilika ambayo kwa ujumla itaweza kubeba abiria 1200, na madaraja hayo kutakuwa na daraja la hadhi ya juu litaitwa VVIP. Hili daraja litakuwa linabeba abiria wawili tu, yani kwa maana kama couple, basi ni couple mbii mke na mume mke na mume wawili tu.

Tunaposema VVIP hayo madaraja ni ya viongozi wakubwa au viongozi wengine wakubwa wakitaifa wa nchi zingine watakaopata kibali cha kusafiri na hiyo meli kwa sababu itakuwa ni sehemu iliyotengwa kwa ajili ya viongozi hao.”

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL), Eric Hamissi