Ikiwezekana tutazifuta mila potofu

0
177

Bado kuna mila potofu kwamba mwanamke haruhusiwi kumiliki ardhi. Hapa tutashirikiana sana na ndugu zetu wa TAMISEMI kuhakikisha kwamba mila na desturi ambazo mara nyingi zinapitishwa na Halmashauri zetu tunamkakati wa kuzitambua kuzifanyia marekebisho na ikiwezekana kuzifuta ili haki ya kumiliki ardhi kwa mwanamke, kwa mtoto na kwa raia yoyote yule iwe sawa.

Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro