IGP SIRRO ZIARANI

0
724

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Sirro, akiwa kwenye picha ya pamoja na maofisa waandamizi wa Jeshi la Polisi la Rwanda wakiongozwa na mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo Dan Munyuza.

IGP Sirro yupo nchini Rwanda kwa ziara ya kikazi, ambapo wakuu hao kupitia mkutano wa ujirani mwema watajadili changamoto za uhalifu unaovuka mipaka.