Hongera Aggrey Morris

0
133

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa akimkabidhi Aggrey Morris hundi ya shilingi milioni 5 kama zawadi kwa kuitumikia timu ya Taifa ya mpira wa miguu (Taifa Stars) kwa kipindi cha zaidi ya miaka kumi.

Aggrey Morris amestaafu leo katika mchezo wa kirafiki kati ya Stars na Congo DRC.