Tarehe kama ya Leo, Oktoba 29, 1959 wilayani Chato, sasa mkoa wa Geita alizaliwa Mwana Mdogo, ambaye leo ni Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph MAGUFULI.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania – TBC Dkt. Ayub Rioba na wafanyakazi wote tunatoa pongezi zetu za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kutimiza miaka 60.
