Halmashauri zatakiwa kupunguza utitiri wa vikundi

0
146

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema hajaridhishwa na utoaji wa mikopo kwa vikundi vya wanawake na kuzitaka halmashauri zote nchini, kupunguza utitiri wa vikundi ili kuleta matokeo chanya.

Makamu wa Rais ameyasema hayo katika kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambapo kitaifa yamefanyika mkoani Simiyu