Rais John Magufuli amesema kuwa majadiliano yanaweza kufanyika kuhusu kupunguza viwango vya kodi katika mishahara ya Wafanyakazi nchini.