Haki ya mtu isichepushwe

0
154

“Hakuna kitu kibaya duniani kukichepusha kama kuchepusha haki ya mtu. Kama wewe hutaki kunyang’anywa haki yako inabidi utengeneze system ambayo kwa kiasi kikubwa hakuna nchi iliyofanya kwa asilimia 100 lakini kwa kiasi kikubwa inalinda haki za watu.”

Rais Samia Suluhu Hassan