HABARI KATIKA PICHA

0
264

Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya utiaji saini mkataba kati ya Serikali na kampuni ya LZ Nickel Limited ya uchimbaji wa madini aina ya Nikeli.

Hafla ya utiaji saini mkataba huo imefanyika mjini Bukoba mkoani Kagera na kushuhudiwa na Rais Dkt John Magufuli.