Mzee Mkapa alikuwa akilitumia gari hilo kabla ya kuwa Rais wa Tanzania mwaka 1995, ambapo kwa wakati huo alikuwa Mbunge wa Nanyumbu na waziri.
Sasa hivi Benz hiyo inatumiwa na ndugu wa marehemu ambaye ni Paroko wa Kanisa Katoliki Masasi, Patrick Mkapa.