Faru Fausta afariki Dunia

0
218

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Costantine Kanyasu amethibitisha kutokea kifo cha Faru Fausta (57) aliyefariki Desemba 27, 2019 kutokana na sababu ya umri mkubwa.

Amesema faru huyo mzee zaidi duniani atawekwa katika vitabu vya kumbukumbu na kutumika katika tafiti za kisayansi.

Faru Fausta anatajwa kuwa na umri mkubwa zaidi kwa wanyama wa jamii ya Faru