Kitaifa Eid jumamosi By TBC - April 20, 2023 0 141 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Mufti wa TanzaniaSheikh Abubakar Zubeir amesema Mwezi haujaonekana, hivyo kesho Waumini wa dini ya Kiislamu nchini wanaendelea kufunga Ramadhani kukamilisha siku 30. Amesema,Sikukuu ya Eid El- Fitri Itakuwa tarehe 22 na 23 mwezi huu.