DPP mnafanya kazi nzuri : pongezi kutoka kwa JPM

0
184

Rais John Magufuli ameipongeza Ofisi ya Mashtaka Nchini kwa kazi nzuri ambayo imekua ikifanya.

https://www.youtube.com/watch?v=-j3bmN-Pcag&feature=youtu.be

Rais Magufuli ametoa pongezi hizo Ikulu Jijini Dar es salaam, wakati akipokea
taarifa ya utekelezaji wa ushauri alioutoa kwa Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) Biswalo Mganga, kuhusu kuangalia namna ya kuwasamehe Watuhumiwa wa Uhujumu uchumi walio tayari kutubu na kurejesha fedha pamoja na mali.