Dkt. Samia ateta na mwigizaji maarufu

0
228

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na mwigizaji maarufu wa filamu duniani
Idris Elba ambaye ni raia wa Uingereza, walipokutana na kufanya mazungumzo huko Davos, Uswisi.

Idris Elba ni balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa kwenye
Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD).