Dkt. Mwakyembe akutana na Wawekezaji katika sekta ya michezo

0
304

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe  amezungumza na Balozi wa Misri nchini Mohamed Gaber Abulwafa na ugeni wake kutoka Misri, walipokutana jijini Dar es salaam.
 
Ugeni huo ni Wawekezaji wa sekta ya michezo kutoka Misri, ambao wanatarajia kujenga maeneo makubwa ya michezo mbalimbali (Sports Arena) hapa nchini.